Wewe uwe usababu yakunaza ngoma, jukwaa lako, uko tayari, wewe ndiye nyimbo, mdundo uliyo gojeya.
Kuishi, kupenda, kuthamini kwa furaha. Hiyo ndio mtazamo wa maisha. Shiriki na ukamilifu huu.
Maadui ni walimu wetu wakubwa, jifunze haraka kutoka kwao. Mpatiye nafasi ndogo katika nafasi yako; acha nafasi kwa wanaokutakia mema, wasaidizi wako wa kudumu... wafuasi wako abhayo hawana mwisho... Washangiliaji wako wa kimya kimya.